Others

Root category which indicates that the specific content is related to a matter outside TNRF.

KAULI YA ASASI ZINAZOFANYA KAZI NA WAFUGAJI WA ASILI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI TANZANIA

UTANGULIZI:

Ufugaji wa asili

Ufugaji wa asili ni mfumo wa maisha unaohusisha matumizi ya ardhi ambapo wafugaji wanahama kwa mpangilio kutoka eneo moja hadi jingine kwa sababu maalum zikiwemo utafutaji wa malisho, maji na huduma zingine za mifugo baadaye kurudi kwenye maeneo ya awali kwa vipindi maalum.

Relevance: 

Ghana learning and sharing trip joint summary report

Introduction: “ArdhiYetu is a program that seeks to support and strengthen the capacity of Tanzanian CSOs to promote land rights of smallholder farmers and pastoralists as a means of ensuring food security. As other program, ArdhiYetu keeps striving to be the best through learning and sharing information and knowledge on partnership, land rights and pastoralists issues in Tanzania.

Mkutano wa wadau wa ufugaji asili na sheria namba 5 ya ardhi ya vijiji

TAPHGO wameandaa mkutano na wadau mbalimbali kama CEDESOTA, PINGOs na wadau wengine wanaojihusisha  na ufugaji asilia kujadili sheria namba 5 (1999) ya ardhi ya vijiji. Mkutano huo umefanyika tarehe 1 / 7/ 2015 Equator Hotel, Arusha.  Lengo la ufugaji asilia ni kuongeza pato la taifa na kukidhi maisha ya wafugaji.

Kulingana na sheria ya ardhi iliopo kuna baadhi ya vipengele ambavyo wadau hao wameona vinahitaji marekebisho na maboresho kwa sababu vina mapungufu. Pia kuna zingine za kuongeza ivo wameandaa hoja za msingi na kwa pamoja wamechambua na watawasilisha kwa serikali kwa ajili ya mapitio ili iweze kusaidia kwenye kuboresha sheria ya ardhi.

Relevance: 

PROGRAMME ACCOUNTANT

Opportunity: 
Relevance: 
The WWF (World Wide Fund for Nature), an international conservation organization, is seeking for a competent and highly motivated Programme Accountant, to be based in Dar es Salaam.  
 

Pages

Subscribe to RSS - Others