MSAADA WA MIRADI YA MAENDELEO KWA JAMII ZA WAFUGAJI

Organization: 
Tanzania Natural Resource Forum
Deadline: 
19 February 2021

Tangazo linatolewa kwamba, jamii za wafugaji kwa kupitia mashirika yao yaliyosajiliwa (NGOs, CBOs, FBOs) wanakaribishwa kuomba misaada ya maendeleo kwa miradi ifuatayo:

  1. Utunzaji wa misitu iliyo katika vijiji vyao;
  2. Miradi ya mabwawa ya maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu na mifugo;
  3. Uandishi na usambazaji wa vitabu kuhusu njia za asili za uhifadhi wa misitu, mazingira na vyanzo vya maji;
  4. Michakato ya upatikanaji wa Hati za ki-kimila kwa maeneo yanayokaliwa na jamii za wafugaji; na
  5. Maendeleo ya miradi ya mashamba ya malisho ya mifugo.
How to Apply: 

Maombi hayo yatumwe kwa:

Mkurugenzi Mtendaji

Jumuiko la Maliasili Tanzania (TNRF)

       S.L.P 15605

       Arusha

Kwa mawasiliano zaidi: 0652468219

Mwisho wa kutuma maombi ni Ijumaa, tarehe 19 Februari, 2021.