Mkutano wa wadau wa ufugaji asili na sheria namba 5 ya ardhi ya vijiji

TAPHGO wameandaa mkutano na wadau mbalimbali kama CEDESOTA, PINGOs na wadau wengine wanaojihusisha  na ufugaji asilia kujadili sheria namba 5 (1999) ya ardhi ya vijiji. Mkutano huo umefanyika tarehe 1 / 7/ 2015 Equator Hotel, Arusha.  Lengo la ufugaji asilia ni kuongeza pato la taifa na kukidhi maisha ya wafugaji.

Kulingana na sheria ya ardhi iliopo kuna baadhi ya vipengele ambavyo wadau hao wameona vinahitaji marekebisho na maboresho kwa sababu vina mapungufu. Pia kuna zingine za kuongeza ivo wameandaa hoja za msingi na kwa pamoja wamechambua na watawasilisha kwa serikali kwa ajili ya mapitio ili iweze kusaidia kwenye kuboresha sheria ya ardhi.

Relevance: 

Gender and Accountability Issues in Large-Scale Agricultural Investments: A call for more Discussion

Godfrey Eliseus Massay – LBI Coordinator at TNRF, June 2015

I read with great interest a recent paper by Helen Dancer and Emmanuel Sulle on “Gender Implications of Agricultural Commercialisation: the Case of Sugarcane Production in Kilombero District, Tanzania”. In their paper they highlightsome literature on gender and commercial agricultural investments, the policy and legal framework governing investments and the extent to which gender is mainstreamed across board, and the specific gender implications in different models of large-scale agricultural investments.

2nd National CBNRM Forum – Held successfully!

 

 

 

 

 

Theme: Be the change to unlocking CBNRM potentials in Tanzania

When: 
27 May 2015 - 8:30am to 5:00pm
Location: 
National College of Tourism
Bustani Campus, Shaaban Robert Street
Dar es Salaam
Tanzania
TZ

Mafunzo ya Stadi za Uongozi, Jinsia na Muundo wa Kitaasisi kwa Viongozi wa Wafugaji asili - Babati

Washiriki wapatao 27 kutoka katika vikundi na mitandao ya kiuchumi ya wafugaji wamepata mafunzo ya kuimarisha stadi za uongozi, jinsia na muundo. Katika ya washiriki 27, wanawake viongozi wa vikundi na mitandao ya kiuchumi ya wanawake walikuwa ni 16 kutoka katika vikundi vya Ombeni group – Meru, Baraza la Wanawake Monduli, Mtandao wa Wafugaji Kilindi, Chama Cha Wafugaji Babati, Kikundi Cha Mshikamano Cha Wanawake wa Lolela Gairo, Mtandao wa Wanawake Wafugaji Erreto Kiteto.

When: 
18 May 2015 - 8:45am to 20 May 2015 - 6:45pm
Location: 
Babati - Manyara
Tanzania
TZ

Pages

Subscribe to Tanzania Natural Resource Forum (TNRF) RSS